PICHA ZA SHOW YA OMMY DIMPOZ KAHAMA, AUDATISHA UKUMBI

IMG-20140201-WA0013IMG-20140201-WA0018IMG-20140201-WA0000IMG-20140201-WA0002IMG-20140201-WA0009IMG-20140201-WA0017IMG-20140201-WA0003 
Ommy Dimpoz kupitia kampuni yake ya Poz kwa Poz Entertainment ameendelea kujiimarisha kwa kuandaa show zake mwenyewe ambapo jana alitumbuiza wilayani Kahama, Shinyanga na kuujaza ukumbi wa Social.

Ommy ameiambia Bongo5 kuwa kile anachokifanya sasa kinaweza kuwa changamoto kwa wasanii wengine nchini kuanza kujiandalia show zao wenyewe na sio kusubiri hadi wapigiwe simu na mapromoter. 

Leo atakuwa na show nyingine aliyoaindaa mjini Geita kwenye ukumbi wa Ambassador na anasindikizwa na mshindi wa EBSS, 2012, Walter Chilambo.

-BONGO5


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo