skip to main |
skip to sidebar
MAMA WA DIWANI AUAWA KIKATILI HUKO TABORA...PICHA ZINATISHA SANA....!!!!!
Mauti ya
kikatili ya mama anayedaiwa kuwa ni mzazi wa diwani wa viti maalumu wa
Bukumbi huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora yametokea jana tar.
26.02.2014.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kikiwasiliana na aloyson.com imedaiwa kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi wa chanzo cha kifo hicho cha kuvamiwa mwanamke huyo na watu wasiofahamika.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi