Stand
ya makambako kama inavyoonekana ikiwa imejaa matope kutokana na mvua
zinazoendelea mkoani Njombe na Iringa. Imekuwa kero kwa wakazi wa hapo
na wafanyabiashara katika stand hiyo.
Wamachinga wakiendelea kufanya biashara katika mabasi yanayoingia katika stand ya Makambako. (Picha zote na Denis Mlowe).