skip to main |
skip to sidebar
KINGWENDU ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE 2015
Mwigizaji
wa Comedy Anajulikana kwa Jina la kingwendu Amweka wazi Nia
yake ya kuwania Ubunge katika kinyanganyiro cha 2015,
Amesema
kwa sasa Amejipanga vya kutosha kuingia mjengoni , Kuhusu chama
atakacho gombea kwa sasa ni siri yake ila atakitaja mambo
yakikaribia....
UNAONAJE ATAWEZA AU NDIO ATAPELEKA BUNGENI VICHEKESHO?
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi