BREAKING NEWS: KIZAAZAA TENA KARIAKOO, MADUKA YOTE YAFUNGWA KUGOMEA MASHINE ZA TRA

Shughuli za biashara ya maduka Kariakoo, Dar zimesimama kufuatia mgomo wa wafanyabiashara wanaopinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki kutoka TRA!

Taarifa zaidi tunazidi kuzifuatilia


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo