Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa
uso na basi la Mohamed Trans wameagwa Mkoani Dodoma tayari kwa
mazishi.
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID
MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya
Askari hao
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha
vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka
ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi
DAVID MISIME akizungumza kwa Masikitiko wakati wa kuaga miili ya Askari
Polisi waliofariki katika ajali ya gari
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi
DAVID MISIME akiongoza waombolezaji kuaga miili ya Askari Polisi
waliofariki katika ajali ya gari


Miili ya Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ikiwa imebebwa
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi