UWT YAPATA MSIBA MZITO, KIGOGO WAKE AFARIKI DUNIA

"Tunasikitika kuwatangazia msiba wa aliyekuwa Katibu wa UWT wilaya ya Meru Dada joyce Bilal kilichotokea Usangi -Mwanga usiku huu
ee mola ailaze mahali pema peponi Ameen"
 
chanzo: CCM Arumeru facebook page


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo