Gari la mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Mh Freeman Mbowe, limepata ajali wilayani Ngara baada ya mtu aliyekuwa akiendesha pikipiki kuingia ghafla barabarani.
Mwenyekiti hajaumia lakini muendesha pikipiki huyo hali yake si ya kuridhisha.
Mwenyekiti hajaumia lakini muendesha pikipiki huyo hali yake si ya kuridhisha.