skip to main |
skip to sidebar
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA ALIYEJERUHIWA VIBAYA AHAMISHIWA MOI



MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya
Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona (33),
aliyepigwa na watu wasiojulikana kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio
Kawe jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo, ametolewa wodini katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuhamishiwa katika Kitengo cha Mifupa
Muhimbili (MOI).
picha na GPL
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi