Kikosi cha timu ya Vatican city (picha na maktaba)
Taarifa kutoka kwa mwandishi wetu Conradi Mpila zinasema kuwa mchezo wa mpira wa miguu uliopigwa katika dimba la Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kati ya Vatican City ya Makete dhidi ya Uvikanjo Kipengele umemalizika salama licha ya mechi hiyo kupigwa wakati mvua ikinyesha
Hadi mwisho wa mchezo Uvikanjo Kipengele imeibuka na ushindi wa mabao 3 dhidi ya Vatican City iliyopata mabao 2