WAUMINI WA KANISA LA KKKT MUFINDI WATAKIWA KUONGEZA MAOMBI KATIKA IBADA ZAO


WAUMINI WAKISIKILIZA MAHUBIRI YS MCHUNGAJI TOKA KILIMANJARO-MOSHI
 =========
Mchungaji wa kanisa la kiluthel Tanzania toka Moshi Michael Macha  amekemea matumizi mabaya ya mavazi kwa vijana huku akiwataka wazazi kuwaalinda watoto wao ili wawe na maadili mema na kumtumikia Mungu.

Ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika kata ya Malangali wilayani Mufundi katika mkutano wa jimbo uliokutanisha waumini mbalimbali wa kanisa hilo na makanisa mengine uliofanyikia eneo la soko kuu la malangali mjini.


Aidha mchungaji Macha amesema kuwa waumini wa kikristo wanatakiwa kujihadhari na vitendo ambavyo vimekuwa vikishamili kwa sasa ya ukahaba na jinsia moja na kwamba jambo hilo ni la kumhasi Mungu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo