skip to main |
skip to sidebar
UJENZI WA DARAJA LA SEGEREA - KINYEREZI LAKARIBIA KUMALIZIKA
Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kinyerezi- Segerea,yamekuwa
yakiendelea vizuri kadri siku zinavyokwenda kama inavyoonyesha pichani
hapa.Ujenzi wa Daraja hili ulianza mwezi Septemba,2013 na sasa unaelekea
ukingoni.
Magari mbali mbali yakiendelea kupita kwenye njia ya dharura iliyotengenezwa ili kupisha ujenzi wa Daraja hilo.
Kibao cha Mkandarasi anaetengeneza barabara hiyo.PICHA ZOTE NA MICHUZI BLOG
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi