
''Canal Top''
Madawa ya kulevya ni noma sana, yamesababisha vijana wengi wenye tamaa kuishia kunyongwa au wengine wapo sero mpaka leo.
Habari
zilizotufikia Bongoclan ni kua msanii kutoka kundi la Akudo Impact
maarufu kama CANAL TOP kakamatwa china akiwa na sembe AKA UNGA aka
MADAWA YA KULEVYA.
Sasa
bado hatujajua kesi yake inaendaje but mashushushu wetu china
watalifanyia hilo kazi na kuja na majibu sahihi ambayo tutawaletea
wasomaji wetu.
CHANZO:BONGOCLAN