MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA WALA KIAPO MBELE YA RAIS JAKAYA KIKWETE

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Makamishna wawili wa Tume ya utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Walioapishwa katika hafla hiyo ni Dkt.Angelo Mtitu Mapunda na Mhe.Georgina Mulebya.Pichani Makishna hao Dkt.Angelo Mtitu M apunda na Mhe.Georgina Mulebya wakila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(picha na Freddy Maro)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo