skip to main |
skip to sidebar
MAHAKAMA YAWATUPA JELA MIEZI 12 MASHABIKI WA MBEYA CITY WALIOLETA VURUGU SIKU YA MECHI DHIDI YA PRISONS..!!

MAHAKAMA
ya mwanzo, mjini Mbeya, leo imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda
jela au kulipa faini ya sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita
walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya
Vodacom kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons.
Habari kamili
inakuja...
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi