“…nawashangaa sana watu wengine mnajifanya mnajua sana
kuongea kuhusu mambo yasiyo wahusu kuna mzazi yoyote anataka mwanae
apotee ache mambo ya kishamba unataka mtoto avae dira kwani yeye mtu
mzima kama unaona namlea mtoto wangu vibaya niachie mwenyewe zaa wa
kwako mlee vizuri…”
Hayo ni maneno ya mwanadada Kajala aliyoyasema leo baada ya fans
wake mbalimbali kuanza “kumponda” kuwa anamlea mtoto wake “ndivyo
sivyo” hususani suala kumvalisha mtoto wake vinguo vya “wadada wa mjini”
Kajala ambaye mara nyingi anaonekana akiweka picha mbalimbali za
mwanaye huyo aitwaye Paula akiwa kwenye mapozi tofauti alizidi
kusisitiza kuwa mtoto huyo ni wake na ambaye hapendi anachofanya basi
atafute wake.
Kauli yake hiyo ilipokewa kwa hisia tofauti na mashabiki wake ambao baadhi yao walisema yafuatayo kumsapoti….
“…tena wakukome ma sis wanajua uchungu wako ulioubeba au au
wanajua umemkuzaje mpaka kufika ... nyamafu hao wakosa akili wana low
life yamaisha they av got nothing better to do Wa africa uwa
tunamatatizo dunia nzima mtoto wa mwenzio anakuhusu nini ukse umuongelee
kweli Education kitu kuzuri ukisoma unafikilia utaongelea kiumbe we
kazi. Acheni ujinga na utumwa business za wenzenu zinakuwa zenu.. thats
ma bby paullet right there and am proud she is a grown gal hun.. kay ma
mdogo never give a Fuck life is unbilivable!!!! Family first...”
Na wengine walizidi kukazia kuwa abadilike kwani hiyo sio sawa kwa kusema…
“Umeambiwa kistaarabu tu hako nguo ckazur kwa umri wake
ukizingatia unamtoto mrembo hebu uwe unamvalisha vzr sio nguo zakumfanya
wanaume waanze kumtaman…”
Tazama picha mbalimbali za kajala na mwanae na utupe maoni yako.
=bongo movies
