BREAKING NEWS: JUMA KASEJA ATUA YANGA KWA MILIONI 40

Kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa kuichezea Yanga rasmi, mkataba huo umesainiwa leo Ijumaa na ataanza kuitumikia timu hiyo katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. 
Kaseja amesaini kwa dau la Sh milioni 40.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo