Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza
kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi
Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha.
Bibi huyo ambaye
amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya
LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au
kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na RAIA.
