Kwenye pita pita yangu nilikutana na vijana wa jiji la Arusha mmoja akasema...
"Ukikisaliti CHADEMA utapigwa tu, na mimi nasema wapigwe tu maana sasa tumechoka"
Kauli hii ilinifanya nicheke maana ina fanana na ile aliyo wahi kutoa Mtoto wa mkulima kwenda WAKULIMA MASKINI.
Niliitafakari sana kauli ya vijana wale na nikajikuta nachambua mantiki ya kauli ile kwa kuangalia hatua ambayo wanachama, mashabiki na wapenzi wa CHADEMA wamekuwa wakipitia mara kadhaa kwenye harakati za chama chao kwa kuangalia uhalisia wa mambo yafuatayo.
1. Kuna watu wameuwawa kwa sababu ya kupigania mabadiliko kupitia chadema. Hawa wamekutwa na mauti kwenye harakati za chama. Makaburi yao yamejikuta hayaoti hata nyasi za matumaini.
2. Kuna watu wamekuwa vilema kwa sababu ya kuipigania chadema. Hawakuwa vilema kwa kupenda ila wanao ogopa mabadiliko ndio wamesababisha vilema hivyo. Hawa hawawezi tena hata kukimbizana na maisha ili wajitoe kwenye umaskini kama walikuwa na ndoto hiyo.
3. Kuna kina mama wamekuwa wajane kwa sababu waume zao wamesimama daima kupigania mabadiliko kupitia chadema. Waume zao wakauwawa aidha kwa mabomu au risasi. Baadhi huenda wameamua kufanya ukahaba au kufanya biashara nyinge haramu.
4. Kuna watoto ambao sasa niyatima kwa sababu wazazi/mzazi wake amepigania mabadiliko kupitia chadema. Akaishia kuuwawa. Mwisho wake anaweza kuwa chokoraa au mtoto wa mtaani asiye na ndoto tena zinazo anzia kwa mzazi.
5. Kuna wazazi wamepoteza watoto kwa sababu watoto hao walipenda kuhudhuria na kusikia maneno ya ukombozi ya viongozi wa chadema lakini mwisho wao ukawa kupigwa mabomu na rasisi. Huenda moja ya wazazi hawa walipata mtoto kwa maumivu makubwa au hawana kizazi tena!
6. Kuna watu wamefilisika kwa kuwa mfumo haukupenda kuona watu hao wanasaidia harakati za mabadiliko kupitia upinzani. Biashara zao zikafungwa au kuwekewa mizengwe. Zikafa! Hawa huenda hawamudu kuwasomesha watoto au kumudu angalau kuhudumia familia zao.
7. Kuna watu wameathiliwa na mfumo wa wizi, rushwa na ufisadi. Tumaini lao ni chadema kuona mfumo huo una unaondoka. Kukisaliti chadema ni kusaliti matumaini yao, ni kuuwa ndoto zao.
8. Kwa kuwa mabadiliko ni mpango wa Mungu, kuna watu tumaini kuwa CHADEMA kinakuja kuleta mabadiliko makubwa katika nchi hii. Tunao amini kuwa mabadiliko ni mpango wa Mungu na si shetani tunaamini kuwa ukisaliti harakati za mabadiliko una saliti mpango wa Mungu. Kwa maana hiyo uko kinyume na mapenzi ya Mungu, Unapingana na Mungu!
9. Dhambi kubwa kwenye mapambano ya haki na ukombozi ni usaliti! Ni heri msaliti mmoja afe kuliko kusaliti na kuuwa ndoto na matumaini ya mamilioni ya watu kwa kile wanacho kitumaini tena kilicho piganiwa na kujengwa kwa jasho na damu kwa miaka mingi.
10. Kumuadhibu msaliti kwa kipigo ni kupeleka ujumbe wenye mwangwi mkali kwa wasaliti wengine wanao panga kurudisha nyuma harakati za kumng'oa mkoloni mweusi. CHADEMA ilipofikia leo ikidhoofishwa na wasaliti. Itachukua zaidi ya miaka mingine 20 kupatikana chama kingine kitakacho kuwa na nguvu ya kukua na kuimarika kama kilivyo CHADEMA leo.
Kila mpenda mabadiliko ambaye kimsingi atakuwa anatimiza mapenzi ya Mungu, ni wakati wake kuhakikisha kuwa harakati za ukombozi na maendeleo kwenye nchi yetu hazirudishwi nyuma na wasaliti. Kuruhusu msaliti akwaze harakati za ukombozi na mabadiliko ni kuenenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Ni kutenda dhambi ya kuua ndoto na matumaini.
Moyo unao ishi bila ndoto na matumaini mahali pake ni makaburini. Ni afadhari msaliti apigwe kuliko aachwe auwe ndoto na matumaini ya mamilioni ya watanzania kwa kile wanacho kiamini, na mimi nasema "WAPIGWE TU"

CHANZO: JAMII FORUM