MAMA ASHA BILAL AFUTURU PAMOJA NA WANAFUNZI WENZAKE WA CHUO CHA DIPLOMASIA

  Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akizungumza na wananfunzi wenzake wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kufuturu wakati alipowaalika katika futari ya pamoja kwenye Makazi yake Oystabay jijini Dar es Salaam, jana Agosti 3.
 Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao.
 Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, wakipata futari wakati wa hafla hiyo ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kike wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kiume wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam. 
  Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam. 
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo