Picha ya Mlima Mbalizi
Live!
Kwa
Taarifa Tulizo pokea sasa kutoka mlima wa Mbalizi zinasema kwamba kuna
Lori la mafuta limedondoka muda huu na kusababisa watu waanze kuyachota
mafuta hayo bila kujali kama Linaweza kulipuka.
Timu ya Mbeya yetu ipo eneo Hilo kwa sasa... taarifa zaidi Inakuja
CHANZO:MBEYA YETU BLOG