Akizungumzia ajali hiyo kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma
Suzan Kaganda amesema kuwa basi hilo lenye namba za usajili T 491 AUF
imetokana na mwendo kasi ambapo mara baada ya tairi kupasuka dereva
alishindwa kulimudu na hatimaye kuacha njia na kupinduka huku watu wanne
wakipoteza maisha popo hapo huku majeruhi wakikimbizwa katika
hosipitali ya rufaa ya Dodoma na hosipitali ya wilaya ya Kongwa.
chanzo: ITV