
MAJENEZA YALIYOBEBA MIILI YA WAPIGANAJI HAO IKITOLEWA KUTOKA KWENYE NDEGE
NDEGE ILIYOBEBA MIILI YA WANAJESHI SABA WALIOUWAWA HUKO DAFUR NCHINI SUDAN IKIPAKI VIZURI ILI KUSHUSHA MIILI YA WATANZANIA HAO.
WANAJESHI MAALUMU WAKIWA WAMEBEBA MAJENEZA YALIYOBEBA MIILI YA WANAJESHI SABA WA JWTZ WALIOUWAWA DAFUR NCHINI SUDAN.
PICHA NA COMREDY GODFREY MONYO.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi