Baadhi ya Abiria wakiwa pembeni muda mchache baada ya Ajali kutokea huku Magari yakiwa katika msongamano
Hivi ndivyo basi la Super Feo Lilivyo Gongana na Lori la Mizigo
Baadhi ya wakazi wakitazama ajali hiyo
Abiria mbalimbali wakingojea kubadilishiwa usafiri
Picha zote na Iringa Yetu Blog