skip to main |
skip to sidebar
MH. PINDA ASHUHUDIA UPAKUAJI WA MABOMBA YA GESI BANDARI YA MTWARA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzindua utelemshaji wa
mabomba ya gesi kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara Julai 18,
2013. Mabomba hayo yatatandikwa chini ya ardhi kusafisha gesi kutoka
Mtwara hadi Dar es salaam. Kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dr.
Lu na Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini , Stephen Masela.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Balozi wa China nchini, Dr.
Lu kabla ya kushuhudia upakuaji wa mabomba ya gesi kwenye bandari ya
Mtwara , Julai 18, 2013. Mabomba hayo yatatandikwa ardhini ili
kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Hassan
Kasuguru,nahodha alieingiza bandarini Mtwara meli yenye mabomba ya gesi
kutoka China wakati alipozindua upakuaji wa mabomba hayo Julai 18,
2013. (Picha n Ofisi ya Waziri Mkuu).
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi