Picha na Tone mediaHabari zilizotufikia hivi punde kunaajali imetokea makambako baada ya basi lililokua linatoka Iringa kugongana uso kwa uso na Lori.
Hakuna aliyekufa
wala majeruhi.Endelea kutembelea mtandao huu tutakujuza zaidi
Picha na Tone media