
Katibu
Mkuu, wa CCM, Abdlrahman Kinana akiongozwa na Katibu wa wabunge wa CCM,
Jenista Mhagama kuingia kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma
kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCM juni 29, 2013.

Mkurugenzi
wa Idara ya Mambo ya Nje ya CCM, Dr Asha Rose Migiro akisalimaina na
Mbumge wa Kondoa Kusini wakati alipowasili kwenye ukumbiu wa Msekwa
mjini Dodoma Juni 29, kuhushuria kikao cha wabunge wa CCM. Katikati ni
Mbunge wa Mpwapwa ns Nsibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory heu;

Mkurugenzi
wa Idara ya mambo ya Nje ya CCM, Dr.Asha Rose Migiro akikaribishwa na
Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye
ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCm Juni
29, 2013. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili
kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa
CCM Juni 29, 2013. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.

Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla
ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa msekwa mjini Dodoma Juni 29,
2013.

Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla
ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa msekwa mjini Dodoma Juni 29,
2013.

Wabunge
wa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wao, waziri Mkuu, Mizengo Pinda
alipozungumza katika kikao chaokwenye ukumbiwa Msekwamjini Dodoma Juni
29, 2013.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu