TAZAMA BARAFU ILIVYODONDOKA KWENYE ARDHI YA MAKETE LEO ASUBUHI

Haya ni baadhi ya maeneo ambayo yamedondokewa na barafu leo asubuhi kama yalivyokutwa na kamera ya blog hii leo asubuhi, msimu huu ni wa baridi kali wilayani hapa ambayo inaambatana na barafu, karibu sana Makete


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo