Hapa ni msanii M 2 tha P(kushoto) akiwa na mtangazaji wa Times Fm Dida wa Mitikisiko, hapa wakiwa Morogoro muda mchache kabla ya kuuaga mwili wa marehemu Mangwea, Ikumbukwe kuwa msanii huyo ndiyo katoka leo hii huko Afrika kusini alikokuwa kwa matibabu na bado afya yake haijaimarika vizuri(Picha na Dida)

