Baadhi
ya wakaazi wa kinondoni jijini DSM wakishuhudia nyumba zikiteketea kwa
moto mchana wa leo,moto unaoelezwa na mashuhuda kwamba huenda
ulisababishwa na shoti ya umeme.
Hapo moja ya nyumba ikiwa inamalizikia kuteketea.
Hayo ni mabaki ya nyumba zilizoteketea kwa moto kinondoni jijini DSM leo mchana.