Mbunge wa Kigoma Kaskazini,
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani
Bungeni, Zitto Kabwe akiongelea kuhusu Tamasha kubwa la Usiku wa
Matumaini 2013 litakalofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Julai 7 mwaka huu.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi