MH MBATIA AZIDI KUIKABA KOO WIZARA YA ELIMU

Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akichangia mada wakati wa majadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bungeni mjini Dodoma leo. (Picha na Joseph Senga)
Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akionesha baadhi ya vitabu ambavyo vina makosa mbalimbali, vinavyotumika kufundishia mashuleni, wakati alipokuwa akichangia bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Joseph Senga)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo