JINI KABULA AZUNGUMZIA KUHUSU KUOLEWA KWA JACK WA CHUZI

Leo usiku Jini Kabula ama Mariam Jolwa Amerusha Ujembe BBM kwa marafiki zake wote Ukisema hivi:

"Ivi nyie au wewe unae kaa na kuanza kutangaza eti Jini kabula ndo yuko karibu sana na Jack Chuz unauwakika.. siusiki afu mie siyo mzazi wa jack habari za kise***** kusema me ndo chanzo cha yeye kuolewa na Dibibi mnikome.. me siyo kuadi afu kaeni mkijua yule ni jack me ni Miriam vitu viwili tofauti...niko na Jack kikazi maisha yake hayanihusu...na uyo Dem alo zaa na Dibibi anashangaa jack kuolewa na mzazi mwenzie me sishangai kwa kuwa uyo uyo jack aliwahi kunipindua kwa baba mtoto wang Chuz...Uwenda anaugonjwa na mashemeji zake so lawama za kise********* sitaki..samahani kwa bc nimekereka" Jini Kabula /Miriam Jolwa
 
Source:BBM


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo