KWA HALI YA BARABARA HII KUSAFIRI YATAKA MOYO

Hii ndiyo hali halisi iliyopo katika barabara ya Ludewa - Njombe eneo la Ludewa wakati huu wa masika kutokana na ubovu wa barabara na kupelekea adha kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo(Picha na Cassiana Ndimbo)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo