MOTO WAITIKISA TENA MBEYA

Moja ya duka ambalo lilianza kuwaka moto muda wa saa tatu usiku kutokana na hitilafu ya umeme likiwa na baadhi ya nguo zilizoungua kwa moto huo maduka hayo yapo jirani na kituo cha afya cha Ruanda jijini Mbeya
Mbeya yetu haikuweza kuwahi kwenye tukio, ilikuta tayari kikosi cha zimamoto mbeya kwa kushirikiana na jeshi la polisi walikwisha zima moto huo kwa ujumla wakazi wa eneo hilo la mwanjelwa wamewashukuru sana kikosi cha zimamoto na polisi kwa kuwahi kwenye tukio na kuuzima moto huo
Baadhi ya wamiliki wa maduka hayo wakilia kwa uchungu baada ya kuona baadhi ya mali zao zilivyoteketea kwa moto
Baadhi ya wafanyabiashara wa eneo hilo la mwanjelwa wakimfariji mwenzao ambae duka lake limeungua
Hili ndilo eneo la maduka ya wafanya biashara wa nguo mwanjelwa yalionusurika kuwaka moto jana usiku



picha na Mbeya yetu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo