MAAJABU:MTOTO ALIYEZIKWA AKIWA HAI AFUKULIWA NA KUKUTWA BADO YU HAI

Mama mmoja nchini Nigeria ameamua kumzika mtoto wake akiwa hai. 

Baada ya taarifa kupatikana polisi walienda na kuamua kufukua. Baada ya kufukua walimkuta mtoto huyo, na kumkimbiza hospitali aliposafishwa mtoto huyo alikutwa hai!

Ama kweli kama siku yako ya kufa haijafika uwezekano wa kufa ni mgumu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo