Baadhi ya waombolezaji wakielekea makaburini wakati wa maziko ya mbunge wa zamani wa Tabora mjini, marehemu Siraju Juma Kaboyonga katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Siraju Juma Kaboyonga aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini,ambaye alifariki ghafla jana.
Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mh. Mzee Ali Hassani Mwinyi akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Siraju Juma Kaboyonga wakati wa maziko yake,yaliyofanyika mapema leo kwenye makaburi ya Kisutu,jijini Dar es Salaam.