"Ubunge
ni kazi ya 'kibwege' watu wamekuchagua ili uwatumikia kwa hiyo
unatakiwa kuwa mtumwa wa watu wako kwa kuwa karibu na kufanya kile
wanachokihitajiwao na siyo kukalia kiti hicho kwa niaba yako na ndugu
zako, inanishangaza sana mtu anachaguliwa ndani ya miaka miwili tayari
anamiliki Vogue sasa huu ka siyo wizi ni nini" Aliyasema hayo katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, Afande Sele