Taarifa zilizonifikia muda si mrefu ni kwamba Profesa Costa Mahalu, ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili wakatia akiwa balozi wa Tanzania huko italia, na hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, taarifa zaidi endelea kufuatilia mtandao huu
Msajili wa Hazina azindua Mpango Mkakati wa NMB 2026–2030
36 minutes ago
