skip to main |
skip to sidebar
Mnanikera sana heshimuni kazi!
Toka kiwanda cha filamu za Bongo, mwanadada Davina amewachana live watayarishaji wa filamu kuzingatia maadili na kuheshimu wasanii kwa kutochanganya kazi na mapenzi.
Anasema jambo hilo linawakumba zaidi wasanii wa kike wakati wa ufanyaji kazi, kwani wengi hudhalilishwa na baadhi ya watayarishaji.
Inanikera mno ninapoona mtayarishaji anatumia nafasi yake kuchukua wasanii wa kike kwa manufaa yao na si kwa ajili ya kazi, alisema Davina.
Ni vema watayarishaji wakaheshimu hisia zetu na kuamini kuwa tupo kwa ajili ya kufanya kazi na si mapenzi yasiyo na ridhaa.
SOURCE:DARHOTWIRE
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi