Katibu tawala wilaya ya Makete Joseph Chota akitoa hotuba ya ufunguzi wa mashindano ya UMITASHUMTA katika uwanja wa shule ya msingi Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe
Mmoja ya waalimu wa shule za msingi wilayani Makete akipokea vifaa vya michezo kwa ajili ya michuano ya UMITASHUMTA