ARUMERU

Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CCM, Sioi Sumari akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Nambala, Kata ya Kikwe alipowasili kufanya mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, jana kijijini hapo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo