MAMA NA MWANA "WACHAKACHUANA"

Mwanamke mmoja raia wa Zimbabwe na mtoto wake wa kiume wamefanya kitu ambacho sirahisi kufikiria ambapo ameanguka katika mapenzi mazito na sasa wanataka kufunga ndoa baada ya mama Betty Mbereko kutoka mjini Mwenezi huko Masvingo kuwa na ujauzito wa miezi sita sasa na anatarajia kupata mtoto na mtoto wake.

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 40 alifiwa na mumewe miaka 12 iliyopita na amekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtoto wake wa kwanza Farai Mbereko mwenye miaka 23.

Mbereko amethibitisha kuwa na mimba ya miezi sita aliyobebeshwa na mtoto wake na ameamua kuwa ni vyema wakafunga ndoa kwa sababu hataki kuolewa na wadogo wa marehemu mume wake ambao wanataka kumrithi.
Na marygorethrichard.blogspot.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo