Kama wewe ni mpenzi wa Muziki mbalimbali wa ndani na nje ya Bongo sikiliza Top Twenty ya Kitulo Fm kila Jumapili kuanzia saa Tano kamili hadi saa saba kamili mchana na Edwin Moshi (Eddy Mo Blaze). Na kama Una maoni au chochote kile nitumie kupitia moshiedwin@yahoo.com, kitulofm@yahoo.com, au 0759 522533, 0783702702 au katika face book edwin moshi.facebook.com. Pamoja sana wadau One love.