Wanachama wa msalaba
mwekundu wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya msalaba mwekundu duniani,
kimkoa iliadhimishwa mkoani dar es salaam
Na pia chama hicho kimetoa onyo kali kwa wale wanaotumia nembo ya msalaba mwekundu bila kibali maalum yakiwemo maduka ya dawa, magari ya kubebea wagonjwa nk