skip to main | skip to sidebar

EDMO BLOG

  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • SIASA
  • BURUDANI
  • MICHEZO
  • PICHA
  • VIDEO
  • VITUKO
  • BREAKING NEWS

MH. SITTA AZINDUA RASMI KAMATI YA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

By Unknown at Tuesday, May 08, 2012
Waziri wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta akisoma hotuba ya Rasimu ya Uzinduzi wa Kamati ya Kusimamia Utekelezaji wa Itifaki ya Soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo amesema utekelezaji wa itifaki wa soko la pamoja hauendi kwa kasi iliyotarajiwa kutokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pampja na nchi wanachama kuchelewa kukamilisha zoezi la kuhuisha sheria zinazosimamia utekelezaji wa itifaki hiyo katika nchi zao.

Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Baraza la Mawaziri la Kisekta la Jumuiya la mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Afrika Mashariki na Mipango katika mkutano wao wa 15 uliofanyika Januari 2012 Kampala-Uganda liliziagiza nchi wanachama kuunda kamati za kitaifa za kitaifa za kusimamia Utekelezaji wa soko la pamoja. (National Committee on Common Market Implementation Protocol).
Kwa hisani ya mo blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



Newer Post Older Post Home

LIKE PAGE YETU

Subscribe To

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments

BLOG MARAFIKI

  • MALUNDE 1 BLOG
    WAHITIMU WA DARASA LA SABA 2002 MITWERO WAKABIDHI MADAWATI, WAMEOMBA WADAU KUJITOKEZA KUSAIDIA
    1 hour ago
  • MICHUZI BLOG
    Wadau wa Sheria wapongeza ofisi ya Mwandishi Mkuu kwa kuandika sheria timilifu
    1 hour ago
  • JIACHIE
    SHERIA ZILIZOTAFSIRIWA KWA KISWAHILI KUTOLEWA AGOSTI
    14 hours ago
  • EDMO BLOG
    Wanawake wawili wakutwa kwenye madhabahu ya Kanisa bila nguo
    3 months ago
  • Idawa Online
    LIVE: Tazama matukio mbalimbali mkutano wa MDA Makete unaoendelea hivi sasa
    1 year ago

KUMBUKUMBU YA BLOG

ZILIZOSOMWA SANA

  • KAJALA KUJA JUU?
      Nyota anayetesa katika tasnia ya filamu kwa sasa katika tasnia ya filamu Bongo Kajala Masanja ni moja kati ya wasanii wa filamu wal...
  • Zaidi ya Bilioni 9 kutekeleza miradi ya maji Makete
    Wakati wa uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Mbalatse —Lupombwe wilaya ya Makete Mkoani Njombe wenye thamani ya zaidi ya s...
  • Wema Sepetu achekelea kuukosa Ubunge
    Na Nathaniel Limu, Singida MSANII  maarufu wa tasnia ya filamu nchini, Wema Isaac Sepetu, ametangaza rasmi kuwa safari yake ya kuwat...
  • Mgonjwa auawa kinyama ndani ya wodi
    Maafisa wa upelelezi wanachunguza kisa ambapo mgonjwa mmoja aliuawa katika wodi katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta jijini Nairobi. Mgon...
  • Mwanamke ajiua baada ya kuwaua watoto wake 3
    Polisi huko Gigiri wanachunguza kisa ambapo mwanamke mmoja katika eneo la Githogoro karibu na Runda nchini Kenya anadaiwa kuwaua watoto wake...
 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo