HAFLA FUPI YA MWANAHABARI CONRADI MPILA KUOA

MC katika shughuli hiyo fupi ya mwanahabari kuoa
Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi akinyweshwe pombe aina ya mbege na Veronica Mtauka mtangazaji wa Radio Kitulo FmSehemu ya mahali zilizotolewa katika shughuli hiyoNdugu upande wa mwanahabari ConradiWazazi walezi wa bibi harusi mtarajiwa Grory Serehe
Conradi Mpila akimlisha msosi bibi harusi mtarajiwa Gory Sarehe mara baada ya kukamilisha kulipa chakemshiko uliotolewa kama mahari



Rais wa UTPC Keneth Simabaya (katikati) akiwa na viongozi wa IPC Daud Mwangosi na Frank Leonard Kushoto ambao walifika kuungana na familia ya Mpila na sarehe katika zoezi hiloIli uweze kuingia ndani lazima unywe pombe hii aina ya mbege kama ilivyo kwetu Wachaga upo?
Picha kwa hisani ya francisgodwin.blogspot.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo