Boma la Makete likiwa halina bendera ya taifa leo
maandamano yakianza
Hii nayo ilikuwepo
maandamano ya wafanyakazi wa Makete
Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Makete (kulia) akipokea maandamano
Thomas Mwenda akisoma risala ya wafanyakazi
hapa wakiwakumbuka watumishi waliofariki dunia
eneo la mabehewani lilikuwana bendera ya taifa leo
Timu ya Bomani (wanaume) ikivuta kamba
Timu ya afya ikishangilia kuishinda timu ya bomani wanawake
Mzee Mwenda akionesha zawadi yake
Bonzuma wa Kitulo Fm akipokea zawadi
DC Makete akihutubia
Empowerment Group Stejini
HOTUBA YA MGENI RASMI