Idadi ya watakaofanya mtihani wa Darasa la Saba 2022 Yatolewa

Jumla ya watahiniwa 1,384,340 wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika Oktoba 5 na 6 mwaka huu. 

Kati ya watahiniwa hao 661,276 sawa na asilimia 47.77 ni wavulana na wasichana 723,064 sawa na asilimia 52.23. 

Asilimia 95.74 ya watahiniwa hao sawa na 1,325,433 watafanya mtihani kwa lugha ya Kiswahili na watahiniwa 58,907 sawa na asilimia 4.26 watafanya kwa lugha ya Kiingereza.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo