Gambo: Askofu Kakobe, alitoa kauli ambayo haina kichwa wala miguu

"Kuna mtu mmoja anajiita Askofu Kakobe, alitoa kauli ambayo haina kichwa wala miguu. Kakobe kama anataka kufanya siasa, asajili kanisa lake kama chama cha siasa, aingie uwanjani apambane na wanasiasa wengine"- RC Gambo




JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo